Moto Reads

Moto Reads – March/Machi

English – The Wicked Walk – W.E. Mkufya (sample chapter)
Kiswahili – Vuta n’Kuvute – Shafi Adam Shafi (sample chapter)

Both books can be purchased from TPH Bookshop or Kinu Innovation Space – with a 1,000 Tshs. discount! The Wicked Walk – W.E. Mkufya priced 7,000 Tshs. (usual price 8,000 Tshs.) and Vuta n’Kuvute priced 7,000 Tshs. (usual price 8,000 Tshs.).

What is Moto Reads?

At Moto we believe that reading is key to improving and developing writing. We have discussed at  gatherings the importance of writers reading as much as they can, all styles and subjects! Through reading, writers can learn about new styles, develop their vocabulary, and support other writers. To encourage writers in Tanzania to read, we’ve decided to recommend two books each month, one English and one Swahili. We’ll discuss the recommended books at the following Moto session, as well as ongoing discussions outside the monthly gatherings. While we know the importance of reading all types of books, we will be focusing on literature/fiction. When possible we will provide sample chapters and discounts for purchasing.

Hapa Moto tunaamini kuwa kusoma vitabu ni njia nzuri ya kuboresha uwezo wa kuandika. Tumewahi kujadili na kusisitiza kwenye mikutano yetu jinsi gani ni muhimu waandishi wasome kadri inavyowezekana, vitabu vya aina tofauti kuhusu mada tofauti! Kwa kupitia kusoma vitabu, waandishi wanaweza kujifunza mitindo tofauti ya kuandikia, kuendeleza ujuzi wa msamiati na pia kuweza kuwasaidia waandishi wenzao. Ili kuwapa waandishi wa kitanzania moyo wa kuandika zaidi, tumeamua kupendekeza vitabu viwili kila mwezi, kimoja cha Kiswahili na kimoja kingine cha kiingereza. Tutajadili pamoja kuhusu vitabu vitakavyopendekezwa kwenye kongamano linalofuata la Moto pamoja na majadiliano mengine yaliyo nje na utaratibu wa kukutana kila mwezi. Licha ya kuelewa umuhimu wa waandishi kusoma vitabu vya kila aina tutazingatia zaidi vitabu vya fahisi na vya kutungwa. Pale itakapowezekana tutatoa ofa ya kupunguza gharama kwenye milango au sura mbali mbali za vitabu vitakavyouzwa.

The recommended books to be read in March & April are The Wicked Walk – W.E. Mkufya and Vuta n’Kuvute – Shafi Adam Shafi. These will be discussed at the gathering on the 25th of March. If you don’t read the books in March, or miss the meeting, still try to read the books!

Vitabu vinavyopendekezwa kusomwa mwezi wa Machi & Aprili ni The Wicked Walk – W.E. Mkufya and Vuta n’Kuvute – Shafi Adam Shafi. Hivi vitabu vitajadiliwa kwenye mkutano wa tarehe 25 Machi. Kama hautaweza kuvisoma mwezi wa Machi, au usipohudhuria mkutano jitahidi hata hivyo kuvisoma vitabu hivyo.

Want to recommend a book for Moto Reads list? We want to ensure the books are accessible to as many people as possible ask that book recommendations adhere to the following:

  • Written in English or Swahili
  • Must be avaliable in Tanzania i.e. currently sold here
  • Should cost no more than 15,000 Tshs.
  • Will be literature/fiction, either novel, novella, play, poetry etc.
  • Ideally written by a Tanzanian author or set in Tanzania

Je, ungependa kupendekeza kitabu chochote kwa ajili ya listi ya Moto ya vitabu vitakavyosomwa? Tungependa vitabu viweze kupatikana kwa urahisi kwa washiriki wengi iwezekanavyo kwahiyo tunashauri yafuatayo:

  • Kitabu kiwe kimeandikwa kwa lugha ya Kiswahili au Kiingereza
  • Kitabu ni lazima kiwe kinapatikana hapa hapa Tanzania
  • Kitabu kisigharimu zaidi ya shilingi 15,000/-
  • Kitabu kiwe cha hadithi ya kutunga, au mashairi, au cha mchezo wa kuigi za au hata tamthilia.
  • Kitabu, kama inawezekana, kiwe kimeandikwa na mtanzania au kihusu au kuzungumzia Tanzania

1 Response to Moto Reads

  1. Pingback: MOTO – Machi/March 2015 | MOTO

Leave a comment