MOTO – Septemba/September 2015

Moto_CoverPage-NoDate2013

‘Moto’ itakuwa siku ya Jumatano 30 Septemba saa moja usiku. Mkutano utafanyika Maktaba ya T.B (Indo-Tanzania Cultural Centre) iliyopo kona ya mtaa wa kisutu na Mrima (mkabala na Snoopy’s). Unaweza kupaona kwenye ramani: https://maps.google.com/maps?q=-6.814684%2C39.285245&ll=-6.81461%2C39.285685&spn=0.001443%2C0.002537&num=1&t=h&z=19&iwloc=A

‘Moto’ will be held on Wednesday 30 September at 7pm. The event will take place at the T.B. Sheth Public Library (Indo-Tanzania Cultural Centre). The library is located on the corner of Kisutu Street and Mrima Street (opposite Snoopy’s). The location of the event can be seen on the map:https://maps.google.com/maps?q=-6.814684%2C39.285245&ll=-6.81461%2C39.285685&spn=0.001443%2C0.002537&num=1&t=h&z=19&iwloc=A

Jukwaa hili ni bure na huru kwa yeyote ambae ni mwandishi au mwenye nia ya kuwa mwandishi na tunatarajia ushiriki wako bila kuangalia uzoefu wako kama mwandishi. Katika moto uko huru kuzungumza au kuandika katika kiswahili au kiingereza. Hatuna lugha rasmi kati ya hizo.

The event is free and open to anyone who is a writer and participation of all is encouraged regardless of experience. Moto is open to writers and speakers of Swahili or English and both languages are equally encouraged.

Facebook Event: https://www.facebook.com/events/727732694003691/

 

Posted in events, monthly meeting | Leave a comment